JE UNAWATAMBUA HAWA NI AKINA NANI?
14 Oct, 2025
51 Machapisho
"Wanawake mmezaliwa Na uwezo sawa na Wanaume, mkiwa na uwezo wa kutimiza mambo makubwa lakini jamii na baadhi ya watu wamewafanya muamini kuwa hamuwezi, Kataeni dhana hiyo kwa kuwa mna UWEZO" Mwalimu Julius K Nyerere
Tunaposherekea Maisha yako tunakumbuka msingi uliojenga kwa kuinua nafasi ya Mwanamke kwenye Uongozi, leo hii Chama cha Mapinduzi kwa Mara ya kwanza kimempata Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Mwenyekiti wake na mgombea wa nafasi ya Urais
Habari Zinazohusiana
KATIBU MKUU WA UVCCM KUONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA BARAZA KUU LA UVCCM, ZANZIBAR
09 Feb, 2026
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Halid Mwinyi (MNEC), anatarajiwa kuongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM kitakachofanyika Jumanne, tarehe 10 Februari 2026, katika Chuo cha Umoja wa Vijana Tunguu, Zanzibar.
RAIS DKT. SAMIA AAGIZA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU, UJENZI WA KITUO CHA WATOTO NA ELIMU YA ZIMAMOTO SOKO JIPYA LA KARIAKOO
08 Feb, 2026
Dar es Salaam 08 Februari 2026 Katika kulinda uwekezaji wa umma na kuhakikisha thamani ya fedha za wananchi inalindwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kutunza na kusimamia miundombinu ya Soko
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SOKO JIPYA LA KARIAKOO: AFUNGUA UKURASA MPYA WA TUMAINI LA KIUCHUMI, AAGIZA HAKI, UWAZI NA USALAMA KWA WAFANYABIASHARA
08 Feb, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amezindua rasmi Jengo Jipya la Soko la Kariakoo