SERIKALI YA CCM KUJENGA KIWANDA CHA KUSINDIKA SAMAKI IKWIRIRI
20 Oct, 2025
81 Machapisho
Rufiji - Pwani,Serikali ya Chama Cha Mapinduzi Chini ya Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda Cha kusindika Samaki Rufiji Mkoani Pwani.
Kiwanda hicho kitalenga kuongeza ajira kwa Vijana na kukuza Uchumi wa Pwani na Taifa kwa Ujumla, Dkt Samia Suluhu Hassan pia amewaomba Watanzania wajitokeze kupiga kura Oktoba 29 na kumpa Ridhaa Ya kuiongoza Nchi kwa awamu ijayo ili kutekeleza yale yaliyopa katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
#oktobatunatiki ✅✅✅
#fyuchabilastresi
#tokanitoketukatiki ✅
Habari Zinazohusiana
KATIBU MKUU WA UVCCM KUONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA BARAZA KUU LA UVCCM, ZANZIBAR
09 Feb, 2026
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Halid Mwinyi (MNEC), anatarajiwa kuongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM kitakachofanyika Jumanne, tarehe 10 Februari 2026, katika Chuo cha Umoja wa Vijana Tunguu, Zanzibar.
RAIS DKT. SAMIA AAGIZA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU, UJENZI WA KITUO CHA WATOTO NA ELIMU YA ZIMAMOTO SOKO JIPYA LA KARIAKOO
08 Feb, 2026
Dar es Salaam 08 Februari 2026 Katika kulinda uwekezaji wa umma na kuhakikisha thamani ya fedha za wananchi inalindwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kutunza na kusimamia miundombinu ya Soko
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SOKO JIPYA LA KARIAKOO: AFUNGUA UKURASA MPYA WA TUMAINI LA KIUCHUMI, AAGIZA HAKI, UWAZI NA USALAMA KWA WAFANYABIASHARA
08 Feb, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amezindua rasmi Jengo Jipya la Soko la Kariakoo