UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI IMETOA MICHE YA MIKOROSHO BURE KWA WAKULIMA MKURANGA

20 Oct, 2025 4 Machapisho
Mkuranga- Pwani,Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni Mkoani Pwani 

Amezungumza na wananchi wa jimbo la Mkuranga jioni hii, amewaeleza kuwa Serikali imetoa miche ya mikorosho bure na Ruzuku ya dawa na mbolea kwa wakulima wa korosho ili kuongeza kiwango cha uzalishaji wa zao hilo 

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅