SERIKALI YA CCM KUJENGA SOKO KUBWA LA KISASA JANGWANI DSM
22 Oct, 2025
5 Machapisho
Ilala Dar es salaam, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni Mkoani Dar es salaam Mchana wa leo.
Amezungumza na wananchi wa Wilaya ya Ilala ambapo amewaeleza kuwa Serikali inakwenda kujenga soko kubwa la kisasa kwa ajili ya Machinga na wafanyabiashara ndogondogo maeneo ya Jangwani panapojengwa daraja ili liweze kuanza kutumika kwa haraka
#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅
Habari Zinazohusiana
KURA YANGU SAUTI YANGU
26 Oct, 2025
Ni haki yangu kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025
KAWAIDA: "WATAKE WASITAKE CCM ITASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TAREHE 29"
26 Oct, 2025
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida akizungumza na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Ufungaji wa Kampeni Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MARTINE AHAMASISHA WAPIGA KURA KUBEBA KADI ZAO OKTOBA 29 NA KUTIKI KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
26 Oct, 2025
Dar es Salaam, Oktoba 25, 2025 Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Emanuel Martine, amewahamasisha wafanyabiashara, wajasiriamali, wateja na wadau mbalimbali wa Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, wakichagua kwa kishindo wagombea wote wa CCM.