UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

WAJANJA WOTE WANATIKI OKTOBA 29

22 Oct, 2025 3 Machapisho
Ewe Mwananchi Mwenzangu, kichinjio chako ndio tiketi iliyobeba dhamana ya maamuzi yako ya kuwapata viongozi bora watakaotuletea maendeleo na kuidumisha amani ya Taifa letu, kitunze na kukihifadhi vyema kwa ajili ya hatma ya kesho yako njema na ifikapo tarehe 29 Oktoba katiki 

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅