UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUWAPATIA FURSA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU

23 Oct, 2025 3 Machapisho
Temeke Dar es salaam Mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan leo akiwa Temeke ameeleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi imewapa Fursa mabalimbali watu wenye mahitaji Maalum na  kuwapa vipaumbele pia kwenye Ajira. 

Dkt Samia Suluhu Hassan Pia, ameeleza kuwa tuendelee kudumisha Amani ya Taifa letu kwa kutokuwabagua watu wenye mahitaji Maalum. 

#oktobatunatiki ✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅