UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

TAREHE 29 OKTOBA UELEKEO NI KITUONI

23 Oct, 2025 3 Machapisho
Kwa kutambua kuwa uchaguzi ni haki ya msingi kikatiba ya kila mwananchi kupiga kura kuwachagua viongozi watakaotuletea Maendeleo bora na utulivu wa Taifa letu, Tarehe 29 Oktoba hii hatutabaki kijiweni sote kwa pamoja tukutane kituoni

#OktobaTunatiki ✅️✅️✅️
#FyuchaBilaStresi 
#TokaNitokeTukatiki ✅️