UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

KURA YANGU SAUTI YANGU

26 Oct, 2025 6 Machapisho
Ni haki yangu kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Nitapiga kura yangu kwa amani na kuwahamasisha vijana wenzangu kujitokeza kupiga kura kwa mustakabali wa maendeleo endelevu ya Taifa letu  imara la Tanzania.

KWA MAENDELEO
ENDELEVU YA TAIFA IMARA