Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
DAY TWO: ZIARA YA KITENDAJI YAENDELEA KATA ZA MBWENI NA WAZO | UVCCM
Habari Nyingine

DAY TWO: ZIARA YA KITENDAJI YAENDELEA KATA ZA MBWENI NA WAZO

26 Mar, 2026 Admin User 40 views min read
Katika mwendelezo wa ziara ya kitendaji, tarehe 25 Machi, 2026, nimeendelea na ziara katika Kata za Mbweni na Wazo, ambapo nimekutana na viongozi pamoja na wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).
Katika vikao hivyo, tumejadili masuala mbalimbali ya kimkakati yanayolenga kuimarisha uhai wa Jumuiya, kuongeza uwajibikaji wa viongozi, pamoja na kuhamasisha ushiriki mpana wa vijana katika shughuli za kisiasa na maendeleo.
Ziara hii inaendelea kuwa jukwaa muhimu la kusikiliza maoni, kujenga mshikamano na kuweka mikakati madhubuti ya kuendeleza Jumuiya kwa ufanisi zaidi.