UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

KIJANI ILANI CHATBOT – NJOMBE

05 Sep, 2025 26 Machapisho
Wananchi wa Njombe wamechat na *Kijani Ilani ChatBot,* wakijionea moja kwa moja utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020–2025 na kujionea mipango bora ya Ilani ya 2025-2030  katika mkoa wao. Kilimo, Barabara, afya, elimu,Viwanda,Uwekezaji nishati, Huduma bora za jamii maendeleo yanaonekana na kuguswa na wananchi wote.

👉 Tembelea Ilani ChatBot ujue kwa undani utekelezaji wa Ilani katika mkoa wako na ilani kijumla na namna  jamii inavyonufaika has Vijana.

🔗 http://kijanichatbot.or.tz/

#KijaniIlaniChatBot
#OktobaTunatikiFyuchaBilaStresi
#KazinaUtuTunasongaMbele 
#TunazimaZoteTunawashaKijani