IJUE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI - ZANZIBAR
17 Sep, 2025
74 Machapisho
ðŸ“ZANZIBAR
🗓ï¸17/09/2025
Chama Cha Mapinduzi kimejipanga kutekeleza ilani kwa upande wa Sekta ya kilimo na sekta ya Miundombinu ya Barabara.
Hii ni pamoja na ujenzi wa Barabara za Lami kila wilaya Sambamba ujenzi wa maghala makubwa manne ya kuhifadhi Chakula mkoani Kusini Unguja.
Yote haya na mengine zaidi unaweza kuyapata kwa urahisi kupitia Ilani ChatBot https://kijanichatbot.or.tz/, rafiki yako wa kidijitali anayekupa majibu ya papo kwa papo kuhusu Ilani ya CCM.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi
Habari Zinazohusiana
KATIBU MKUU WA UVCCM KUONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA BARAZA KUU LA UVCCM, ZANZIBAR
09 Feb, 2026
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Halid Mwinyi (MNEC), anatarajiwa kuongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM kitakachofanyika Jumanne, tarehe 10 Februari 2026, katika Chuo cha Umoja wa Vijana Tunguu, Zanzibar.
RAIS DKT. SAMIA AAGIZA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU, UJENZI WA KITUO CHA WATOTO NA ELIMU YA ZIMAMOTO SOKO JIPYA LA KARIAKOO
08 Feb, 2026
Dar es Salaam 08 Februari 2026 Katika kulinda uwekezaji wa umma na kuhakikisha thamani ya fedha za wananchi inalindwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kutunza na kusimamia miundombinu ya Soko
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SOKO JIPYA LA KARIAKOO: AFUNGUA UKURASA MPYA WA TUMAINI LA KIUCHUMI, AAGIZA HAKI, UWAZI NA USALAMA KWA WAFANYABIASHARA
08 Feb, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amezindua rasmi Jengo Jipya la Soko la Kariakoo