UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUFIKISHA UMEME KWA WACHIMBAJI RUNZEWE

12 Oct, 2025 9 Machapisho
đź—“ 12 Oktoba 2025
📍Runzewe- Geita

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi wa Runzewe Mkoani Geita katika Mkutano wa Kampeni Mchana huu.

Amewaeleza kuwa Ilani ya CCM kwa mwaka 2025-2030 ina dhamira ya kupeleka Umeme mpaka katika maeneo yenye machimbo ili kurahisisha shughuli za uchimbaji ambazo zimesaidia kwa kiwango kikubwa kuzalisha ajira kwa vijana

#OktobaTunatiki âś…âś…âś…
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatikiâś…