Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

MUUNGANO WETU, FAHARI YETU

Amani, Umoja na mshikamano ndio Msingi wa Maendeleo Endelevu

MUUNGANO WETU, FAHARI YETU

Kazi na Utu

Kazi na Utu Tunasonga Mbele

Fyucha bila stresi

CCM HII TUMEIPENDA WENYEWE

Matembezi ya miaka 62 ya Mapinduzi ya zanzibar

Kazi na Utu, Tunasonga mbele

AMANI NI FURSA

Amani ndio msingi wa maendeleo yetu

AMANI NI FURSA

KIJANI ILANI CHATBOT

Uzinduzi wa Kijani IlaniChatbot

Bofya hapa Ilani Chatbot

Uongozi na Uwajibikaji

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

uongozi na Uwajibikaji

Kijana na Kijani

Tunazima zote tunawasha Kijani

Tunasonga mbele pamoja

Chaguo letu

Tukimuona Dkt Samia, Tumeiona leo na kesho iliyo salama

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Wataweza Kweli.....?

CCM chama imara

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Uzalendo na Uongozi

Tunasonga mbele pamoja

Oktoba tunatiki

Habari na Matukio

Pata taarifa za mambo yanayotokea UVCCM

Ona Habari Zote
KATIBU MKUU UVCCM MWINYI, CCM NI TANURI LA KUPIKA VIONGOZI, KIMBILIO LA VIJANA WENYE NDOTO ZA UONGOZI TOFAUTI NA VYAMA VYENYE MLENGO WA SACCOS
21 Jun, 2026 13

KATIBU MKUU UVCCM MWINYI, CCM NI TANURI LA KUPIKA VIONGOZI, KIMBILIO LA VIJANA WENYE NDOTO ZA UONGOZI TOFAUTI NA VYAMA VYENYE MLENGO WA SACCOS

Katibu Mkuu wa UVCCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Halid Mwinyi, amesisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) kinaendelea kuwa taasisi ya kimkakati kwa malezi, mafunzo na uandaaji wa vijana wenye ndoto za uongozi, akikitaja kama “tanuri la kupika viongozi” na kimbilio sahihi la vijana wasomi nchini Tanzania.

Soma Zaidi
WASOMI WA MKOA WA MWANZA WAMUHAIDI KATIBU MKUU UVCCM MWINYI, HAWATA SHAWISHIKA KUHARIBU AMANI YA NCHI
21 Jun, 2026 16

WASOMI WA MKOA WA MWANZA WAMUHAIDI KATIBU MKUU UVCCM MWINYI, HAWATA SHAWISHIKA KUHARIBU AMANI YA NCHI

Wasomi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu vya Mkoa wa Mwanza wamemuahidi Katibu Mkuu wa UVCCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ndg Halid Mwinyi kwamba watakuwa mabalozi wa amani katika Mkoa wa Mwanza na maeneo jirani, wakijikita katika kuelimisha jamii kuhusu thamani ya amani na mchango wake katika maendeleo ya elimu na taifa kwa ujumla.

Soma Zaidi
KATIBU MKUU UVCCM MWINYI AWAALIKA WASOMI KUKAA MKAO WA KULA NYONGEZA YA BAJETI YA TSH TRILIONI 1.07 YA MIKOPO ELIMU YA JUU 2026/27
21 Jun, 2026 23

KATIBU MKUU UVCCM MWINYI AWAALIKA WASOMI KUKAA MKAO WA KULA NYONGEZA YA BAJETI YA TSH TRILIONI 1.07 YA MIKOPO ELIMU YA JUU 2026/27

Mwanza, Juni 21, 2026 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC), Ndugu Halid Mwinyi, amewaalika wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu pamoja na wale wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2026/27 kukaa mkao wa kula kufuatia ongezeko kubwa la Bajeti ya Mikopo ya Elimu ya Juu lililopendekezwa na Serikali.

Soma Zaidi

"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE"

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mwenyekiti wa Chama cha CCM

Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi

M/Mwenyekiti wa Zanzibar

Ndugu Stephen Masato Wasira

Ndugu Stephen Masato Wasira

M/Mwenyekiti wa Bara

Dkt. Asha Rose Migiro

Dkt. Asha Rose Migiro

Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

Viongozi Wakuu wa UVCCM

Viongozi wetu wanaongoza kwa uadilifu na ujuzi kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya kwa vijana wa Tanzania.

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mwenyekiti UVCCM Taifa

Rehema Sombi(MNEC)

Rehema Sombi(MNEC)

M/Mwenyekiti UVCCM

Halidi Mwinyi (MNEC)

Halidi Mwinyi (MNEC)

Katibu Mkuu UVCCM

Mussa Mwakitinya (MNEC)

Mussa Mwakitinya (MNEC)

Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara

Abdi Mahamoud

Abdi Mahamoud

Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar

Shuhuda za Vijana

Sikiliza kwa vijana wenzako waliofanikiwa kupitia mipango na mafunzo ya UVCCM

Mafunzo ya ujasiriamali niliyoyapata UVCCM yamenifungulia dunia na sasa naajiri vijana wenzangu 12 katika kampuni yangu ya utengenezaji wa viatu. Asanteni kwa msaada na mwelekeo mzuri.

Asha Mwinyi
Asha Mwinyi

Mjasiriamali, Zanzibar

Kupitia mafunzo ya UVCCM nimeweza kuanzisha biashara ya kilimo cha kisasa na sasa nina mazao bora ya mbogamboga ninayouza kwa wanakijiji wangu na hata kwenye soko la mjini.

Juma Hassan
Juma Hassan

Mkulima, Arusha