UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUTOA NYENZO NA MITAJI KUWEZESHA UVUVI WA KISASA

16 Oct, 2025 8 Machapisho
📍Bukoba - Kagera
🗓️ 16 Oktoba, 2025

Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi akiwa Wilaya Ya Bukoba Mkoani Kagera amesema kuwa wataimarisha Sekta ya Uvuvi kwa kwa kutoa Nyenzo  mbalimbali zitakazosaidia kwenye uvuvi na kutoa mitaji kwa wavuvi.

Serikali ya CCM pia, chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan imejipanga kubadilika Sekta ya uvuvi kwa kuipeleka katika viwango vya juu kwa kufanya uvuvi wa kisasa.

#oktobatunatiki ✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅