UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

DKT. SAMIA AKIONGEA NA WAPIGA KURA WAKE MPANDA MJINI

18 Oct, 2025 8 Machapisho
🗓️Jumamosi Tarehe 18 Oktoba,2025
📍Mpanda Mjini-Katavi

Akiwa mjini Mpanda mkoani Katavi, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuwahamasisha wananchi kuendeleza imani kwa chama chenye historia ya kazi na matendo. 

Ameeleza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuimarisha uchumi wa wananchi kupitia miradi mikubwa ya miundombinu, kilimo, maji, na elimu, huku akisisitiza kuwa safari ya maendeleo haina kurudi nyuma amesema Tanzania ya leo inahitaji umoja, kasi, na Uthubutu si maneno bali Matendo Yanayoonekana.

#oktobatunatiki✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅