UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

UJENZI WA MINARA 63 KURAHISISHA HUDUMA YA MAWASILIANO KATAVI

18 Oct, 2025 8 Machapisho
πŸ“Mpanda - Katavi
πŸ—“οΈ Jumamosi18 Oktoka, 2025

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi kwa awamu iliyopita imefanya ukamilishaji wa Ujenzi wa Minada 63 Na wapo kwenye mchakato wa kumalizia Mnara mmoja Na kufikisha Ujenzi wa Minara 64 kwa Lengo la kurahisisha Mawasiliano ndani ya Mkoa wa Katavi.

Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea wa urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ameeleza kuwa watazidi kuimarisha Sekta hiyo ya mawasiliano, itakayopelekea kukua kwa Uchumi Ndani ya mkoa wa Katavi.

#oktobatunatiki βœ…βœ…βœ…
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki βœ