UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

MNADA WA KOROSHO RUFIJI KUANZA RASMI 30 OKTOBA

20 Oct, 2025 4 Machapisho
Rufiji- Pwani,Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan mchana huu 

Amezungumza na wananchi wa jimbo la Rufiji katika Mkutano wa kampeni ambapo amewaeleza kuwa tayari Serikali imekamilisha taratibu zote za Manada wa korosho Wilayani hapo na utaanza rasmi tarehe 30 mwezi huu 

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅