UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI IMEIMARISHA MHIMILI WA TATU WA DOLA

23 Oct, 2025 3 Machapisho
Temeke- DSM, mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kampeni Mkoani Dar es Salaam alasir hii amezungumza na wananchi wa wilaya ya Temeke ambapo amewaeleza kuwa katika jitihada za kuhakikisha kila mwananchi anapata haki yake, Serikali imeendelea kuuimarisha mhimili wa tatu wa dola (Mahakama)

#OktobaTunatiki ✅️✅️✅️
#FyuchaBilaStresi 
#TokaNitokeTukatiki ✅️