UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

TABASAMU LA MAENDELEO, SAFARI YA KUTIKI OKTOBA 29

23 Oct, 2025 5 Machapisho
Ni yeye akiwa amevalia miwani yake ya njano na tabasamu la matumaini, kijana huyu anaonesha ari na uzalendo kuelekea uchaguzi wa Oktoba 29. Bila kusahau Kichinjio chake, ameshikilia mfano wa karatasi ya kura, ishara ya dhamira yake ya kuchagua maendeleo na umoja.

Kwa ujasiri na imani, anasisitiza ujumbe wa mama wa maendeleo, Samia Suluhu Hassan, kwamba Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa amani, utulivu na kazi.

Oktoba 29 tunatiki maendeleo
          Tunatiki Samia!

#OktobaTunatiki✅✅✅
#TokaNitokeTukatiki✅
#FyuchaBilaStresi