UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

KAWAIDA: "WATAKE WASITAKE CCM ITASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TAREHE 29"

26 Oct, 2025 10 Machapisho
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida akizungumza na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Ufungaji wa Kampeni Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

"IfikapoTarehe 29 Jambo ni moja tuu kwenda kutiki kwa viongozi wote wa Chama cha Mapinduzi na kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na upande wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Ali Mwinyi, hawa viongozi maendeleo waliyo yafanya ni makubwa sana hivyo twendeni tukawape mitano tena waendelee walipo ishia."

#OktobaTunatiki✅✅✅
#TokaNitokeTukatiki✅
#FyuchaBilaStresi