UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

HONGERA MH. MUSSA ZUNGU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

11 Nov, 2025 53 Machapisho
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida unampongeza Mh. Mussa Zungu kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupigiwa kura 378 leo tarehe 11 Novemba 2025 katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13.

#kazinaututunasongambele