UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

HONGERA DKT. MWIGULU NCHEMBA

13 Nov, 2025 23 Machapisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteua jina la Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030.

#KaziNaUtuTunasongaMbele