UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

MWENYEKITI WA UVCCM NA MJUMBE WA KAMATI KUU, NDG. MOHAMMED ALI KAWAIDA, AONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM

26 Nov, 2025 188 Machapisho
Dodoma, 26 Novemba 2025 — Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Ndugu Mohammed Ali Kawaida, ameongoza kikao cha Baraza Kuu la UVCCM kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.

Baraza Kuu la UVCCM ni chombo muhimu cha maamuzi ndani ya jumuiya ya UVCCM na Vijana wote nchini Tanzania, Baraza kuu linahusika kupanga mikakati, kupanga mwelekeo na kusimamia utekelezaji wa shughuli za vijana nchini.UVCCM imeendelea  kuwajengea uwezo vijana wa kitanzania katika kusimama kama viongozi wa sasa na wa baadaye.