UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

IJUE ILANI YA CCM NGUZO ZA MAENDELEO YA TAIFA KATIKA SEKTA YA AFYA

10 Sep, 2025 35 Machapisho
⏰ Tarehe:10/09/2025
📝ILANI YA CCM SEKTA YA AFYA

Kwa upande wa afya, kipaumbele kimewekwa katika kuimarisha huduma za msingi, kujenga vituo vya afya, hospitali za kisasa na nyumba za watumishi.

Lengo ni kuhakikisha kila Mtanzania, popote alipo, anapata huduma bora na za haraka ili kulinda afya ya jamii na kuongeza nguvu kazi ya taifa.

#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi