UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

BI' MKUBWA KAFIKA

17 Sep, 2025 25 Machapisho
🗓️ 17 Septemba 2025
📍 Zanzibar 

Mgombea wa Urais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Makunduchi, Zanzibar, akiendelea na ziara yake ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.

Mapokezi makubwa ya wananchi na wanachama wa CCM yameonyesha mshikamano wa chama na imani kubwa kwa Dkt. Samia, ambapo anatarajia kufanya mkutano Mwehe (Makunduchi).

#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele