UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

CHEI CHEI CHAKE CHAKE

19 Sep, 2025 17 Machapisho
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasha moto wa Ilani Mkoani Kusini Pemba ambapo atafanya Mkutano Mkubwa wa Hadhara Chake Chake, Gombani Kale leo Ijumaa 19 Septemba, 2025.
Vijana wapo tayari kwa nguvu zote kusikiliza Ilani Bora ya CCM 2025-2030 inayogusa maisha ya Kijana na Maisha ya Kila Mtanzania na Sera makini za Maendeleo endelevu ya Taifa letu.

Matangazo ya Mkutano huu utayapata Mubashara kupitia akaunti yetu ya YouTube: UVCCM TV

#KazinaUtuTunasongaMbele 
#Oktobatunatiki✅✅✅
#FyuchaBilaStresi