UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

ZIARA YA KAMPENI, RUVUMA

21 Sep, 2025 16 Machapisho
🗓️ 21 Septemba 2025
📍 Ruvuma

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ataendelea na kampeni zake kuinadi ilani ya CCM Mkoani Ruvuma. 

Zamu ya Ruvuma kupata  ujumbe wenye taswira ya matumaini na dira, inayobainisha safari ya maendeleo na fursa mpya za kijamii na kiuchumi zinaelekezwa katika mkoa huu ambao umekuwa muhimu hata wakati wa kudai uhuru wa Tanzania .

#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele