UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUENDELEA KUWASHUSHIA NEEMA WAKULIMA WA MBINGA

21 Sep, 2025 14 Machapisho
🗓 21 Septemba 2025
📍 Mbinga- Ruvuma

Mgomba wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM DKT SAMIA SULUHU HASSAN ameianza ziara yake ya kampeni mkoani Ruvuma ambapo amebisha hodi akiwa wilayani Mbinga 

Moja ya ahadi zake kwa miaka mitano ijayo ni pamoja na kuendelea kuwawekea wakulima mazingira rafiki kwa kuwapatia Ruzuku ya mbolea na Pembejeo za kilimo kwa wepesi na haraka ili waendelee kuzalisha chakula kingi kitakacho wainua kiuchumi na kuliepusha Taifa na Baa la njaa 

#OktobaTunatiki✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#FyuchaBilaStresi