UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

MBINGA TUMEKUBALIANA CHAGUO LETU DKT. SAMIA

21 Sep, 2025 10 Machapisho
Wananchi wa Mbinga wanafuraha na utayari leo tarehe 21 Septemba 2025 wakipata ugeni wa Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan  akifanya mkutano mdogo kwa kuisemea Ilani ya CCM 2025-2030 na kuomba kura licha ya Wananchi hao kueleza kuwa Chaguo lao ni Dkt. Samia na wagombea wa CCM.

#oktobatunatiki
#kazinaututunasongambele
#tunazimazotetunawashakijani
#fyuchabilastresi