UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

HODI MANYARA

22 Sep, 2025 65 Machapisho
HODI MANYARA
Katibu Mkuu wa Jumuiya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Manyara kuanzia tarehe 22 Septemba, 2025 ambapo atatembelea maeneo mbalimbali ili kutafuta kura za kishindo za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani wa CCM kupitia Operation ya Door to Door.

Vijana tunasema,
Oktoba ni mwendo wa kutiki ✅ kwa sababu CCM imetuhakikishia fyucha bila stresi.

#OktobaTunatiki✅✅✅
#FyuchaBilaStresi