KIJANI ILANI CHATBOT- ILANI KIGANJANI KWAKO
07 Oct, 2025
23 Machapisho
Ungana na wajanja wanaotumia Kijani Ilani Chatbot, Njia rahisi na ya kisasa ya kufahamu Ilani ya CCM 2025–2030, mafanikio ya 2020–2025, na taarifa za maendeleo kwa kila sekta na kila mkoa hasa kwa Vijana.
Faida zake:- Haina haja ya kutumia internet, Inafanya kazi haraka na kwa usalama, Rahisi kutumia popote, muda wowote
👉 Tembelea sasa: https://kijanichatbot.or.tz/
Unachopaswa kufanya: Fungua link, zima data, kisha enjoy ukipata taarifa zote za Ilani kwa urahisi bila internet, bila stress
Usitumie peke yako washirikishe marafiki zako wajanja, tujifunze wote kuhusu maendeleo ya Taifa letu.
#KazinaUtuTunasongaMbele
#TokaNitokeTukatiki
#TunazimaZoteTunawashaKijani
Habari Zinazohusiana
KURA YANGU SAUTI YANGU
26 Oct, 2025
Ni haki yangu kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025
KAWAIDA: "WATAKE WASITAKE CCM ITASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TAREHE 29"
26 Oct, 2025
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida akizungumza na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Ufungaji wa Kampeni Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MARTINE AHAMASISHA WAPIGA KURA KUBEBA KADI ZAO OKTOBA 29 NA KUTIKI KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
26 Oct, 2025
Dar es Salaam, Oktoba 25, 2025 Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Emanuel Martine, amewahamasisha wafanyabiashara, wajasiriamali, wateja na wadau mbalimbali wa Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, wakichagua kwa kishindo wagombea wote wa CCM.