UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI IMEJENGA VYUO 3 VYA VETA ILI VIJANA WAPATE UJUZI MWANZA .

09 Oct, 2025 18 Machapisho
🗓 08 Oktoba 2025
📍 Mwanza- Tanzania 

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUHU HASSAN wakati akihitimisha ziara yake ya kampeni Mkoani Mwanza amehutubia maelfu ya wananchi wa jimbo la Mwanza Mjini waliojitokeza katika Mkutano wa Kampeni mchana huu 

Akielezea mafanikio ya Serikali ya Chama cha Mapinduzi kwa miaka mitano iliyopita amewaeleza kuwa Serikali imejenga vyuo 3 vya Veta ambavyo vimesaidia kwa asilimia kubwa kuwapatia vijana Elimu ya Ujuzi imeyowasaidia katika soko la ajira

#OktobaTunatiki✅✅
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele