UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

VIZIMBA NA MABWAWA KUWANUFAISHA VIJANA WA MARA.

09 Oct, 2025 8 Machapisho
🗓 09 Oktoba 2025
📍 Bunda- Mara

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Akiendelea na kampeni zake Mkoani Mara, amesema kutokana na ujenzi wa vizimba 47 na mabwawa 5 
Kutachochea upatikanaji wa ajira za kutosha kwa vijana wa Mkoa wa Mara. 

#OktobaTunatiki✅✅
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele