UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

TUMETEKELEZA NDOTO YA MWL. NYERERE SERIKALI KUHAMIA DODOMA

10 Oct, 2025 20 Machapisho
🗓 10 Oktoba 2025
📍 Butiama- Mara

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni Mkoani Mara asubuh ya leo. 

Amezungumza na wananchi wa jimbo la Butiama ambapo amewaeleza kuwa Serikali ya Chama cha Mama Mapinduzi imeendelea kuziishi ndoto za Hayati Baba wetu wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambapo moja ya ndoto ilikuwa ni Serikali kuhamia Dodoma na tayari Mihili mitatu ishahamia Dodoma ikiwemo Bunge, Serikali na Mahakama

#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅