UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

TACTIC NA TARURA KUZIJENGA BARABARA ZA NDANI KAHAMA

11 Oct, 2025 11 Machapisho
🗓 11 Oktoba 2025
📍 Kahama- Mjini 

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akihitimisha ziara yake ya kampeni mkoani Shinyanga jioni ya leo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kahama Mjini 

Akizungumzia juu ya mpango wa Serikali kwa miaka mitano ijayo katika kuboresha miundombinu ya Barabara amesema kuwa kupitia mradi wa Tactic kwa kushirikiana na Tarura itajenga barabara za ndani Mji wa kahama

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅