UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

UWANJA WA MAONYESHO GEITA KUBORESHWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

14 Oct, 2025 11 Machapisho
🗓 13 Oktoba 2025
📍 Geita Mjini

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni kwa kanda ya Ziwa mchana huu amezungumza na wananchi wa jimbo la Geita Mjini 

Akizungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano huo amewaeleza kuwa Ilani ya CCM kwa mwaka 2025-2030 inaelekeza kuendelea kuinua vipaji vya vijana na kuboresha miundombinu ya michezo ambapo kwa Geita Mjini Serikali itaboresha uwanja wa maonyesho kwa viwango vya kimataifa

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅