UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

KIWANJA KIKUBWA CHA MICHEZO KUJENGWA GEITA

14 Oct, 2025 14 Machapisho
πŸ“Geita Mjini - Geita
πŸ—“οΈ 13 Oktoba, 2025

Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea wa urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kwa awamu ya 2025-2030 ameahidi ujenzi wa kiwanja kikubwa cha Michezo Mkoani Geita ili kukuza Sekta ya Michezo Nchini.

Pia, Serikali ya CCM Chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kwamba Michezo tutaikuza nchini na tutakuwa tunawapokea na kuwakaribisha wageni mbalimbali Nchini wanaokuja kucheza  na timu zetu za Tanzania, hivyo basi tutazidi kuboresha na kujenga viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa ndani ya Taifa letu.

#oktobatunatiki βœ…βœ…βœ…
#tokanitoketukatiki 
#kazinaututunasongambele 
#fyuchabilastresi