SERIKALI CHINI YA RAIS DKT.SAMIA KUANZISHA WIZARA KAMILI YA VIJANA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake anayoiongoza ya awamu ya sita imedhamiria kuanzisha Wizara kamili itakayoshughulikia masuala yote yanayohusiana na Vijana.
Soma Zaidi
HOTUBA FUPI YA WAZIRI MKUU MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba baada ya kupitishwa kwa kishindo na wabunge alipata wasaa wa kuhutubia kwa uchache.
Soma Zaidi
HONGERA DKT. MWIGULU NCHEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteua jina la Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi
Soma Zaidi
HOTUBA YA KIHISTORIA YA DKT SAMIA KUFUNGUA BUNGE LA 13 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ni tukio lenye uzito wa kipekee katika historia ya Taifa letu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho, tarehe 14 Novemba 2025, kuanzia saa 9 alasiri, bungeni Dodoma.
Soma Zaidi
WANAVYUO LINDENI AMANI NA UTULIVU MTAKAPOFUNGUA VYUO, KILA MMOJA ANA WAJIBU WA KULINDA AMANI NA UTULIVU NCHINI TANZANIA
Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Taifa, Ndg. Emanuel Martine, leo tarehe 12.11.2025 amefanya mazungumzo na wanavyuo mbalimbali waliofika kumtembelea katika ofisi za Upanga, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, Ndg. Martine amewaomba wanavyuo hao na wanavyuo wote nchini kuhakikisha kila mmoja katika chuo chake analinda amani na utulivu vyuoni na nchini kwa ujumla, watakapofungua vyuo, na kusoma kwa bidii kwa manufaa ya Tanzania.
Soma Zaidi
HONGERA MH. MUSSA ZUNGU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida
Soma Zaidi