VIJANA TABORA WAPATA FURSA ZA AJIRA MPYA KUPITIA ILANI YA CCM 2025–2030
Kazi kwa Vijana, Maendeleo kwa Taifa Kupitia Ilani ya CCM 2025 – 2030, Serikali imejipanga kuhakikisha vijana wanapata nafasi za ajira zenye tija Katika miaka mitano ijayo, mamilioni ya vijana watanufaika na fursa hizi ambapo Mkoa wa Tabora nao upo mstari wa mbele kupata ajira mpya kwenye ualimu na afya.
Soma Zaidi
IJUE ILANI YA CCM NGUZO ZA MAENDELEO YA TAIFA
Katika sekta ya nishati na miundombinu, Ilani ya CCM inalenga kupeleka umeme vijijini, kujenga barabara, madaraja, reli na bandari, Hatua hizi ni injini ya ukuaji wa uchumi na zinaunganisha wananchi wote bila kubagua.
Soma Zaidi
IJUE ILANI YA CCM NGUZO ZA MAENDELEO YA TAIFA KATIKA SEKTA YA AFYA
Kwa upande wa afya, kipaumbele kimewekwa katika kuimarisha huduma za msingi, kujenga vituo vya afya, hospitali za kisasa na nyumba za watumishi.
Soma Zaidi
JE, UMEUONA MKONO WA MAMA ITIGI-SINGIDA?
Leo ni siku ya kihistoria kwa wananchi wa Itigi, Singida, ambao wamejumuika kwa Shauku kubwa kumpokea Dkt Samia Suluhu Hassan Mgombea wa Urais aliyeonyesha nyuso za furaha, akiwapungia mikono wananchi na wakazi wa Itigi, akionyesha ukaribu na upendo kwa kila mmoja, Sasa ni wakati wa kuungana, kuimarisha mshikamano wa wananchi na kuonyesha upendo kwa Maendeleo.
Soma Zaidi
KARIBU SANA MAMA, MAKAMBAKO TUPO PAMOJA NAWE
Mapema asubuhi ya leo, maelfu ya wananchi wa Makambako wamejitokeza kwa wingi wakiwa na furaha, hamasa na shangwe kubwa kumsubiri Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Zaidi
KISHINDO CHA DKT.NCHIMBI NYANG'HWALE NI USHINDI TU
Maelfu ya wananchi wa Nyang’hwale, mkoani Geita leo Septemba 5, 2025 wamejitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Saba Saba kumpokea na kumsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiendelea na mikutano ya kampeni za CCM. Mapokezi hayo yameonesha imani kubwa ya wananchi kwa CCM na kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa CCM.
Soma Zaidi