UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

Habari & Matukio

Habari za CCM, Habari za Vijana, Habari za Maendeleo n.k

Rais Dkt. Mwinyi Apokea Pole Kufuatia Kifo cha Kaka Yake
26 Sep, 2025
00:00

Rais Dkt. Mwinyi Apokea Pole Kufuatia Kifo cha Kaka Yake

Zanzibar, 26 Septemba 2025 – Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepokea salamu za pole kufuatia kifo cha kaka yake mpendwa, Marehemu Abbas Ali Mwinyi, kilichotokea jana tarehe 25 Septemba 2025.

Soma Zaidi
SAMIA SCHOLARSHIP NI UFADHILI WA BURE KABISA SIO MKOPO
24 Sep, 2025
00:00

SAMIA SCHOLARSHIP NI UFADHILI WA BURE KABISA SIO MKOPO

Mkuu wa idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Ndg Emanuel Martine* leo tarehe 23.09.2025 akiambatana na Mwenyekiti wa UVCCM vyuo na vyuo Vikuu mkoa wa pwani Ndg Mwanaidi Khamis Ramadhani amefanya mazungumzo na waalimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari kibaha ambapo alipita kuwapa salamu za upendo za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan.

Soma Zaidi
SOMBI AZINDUA RASMI KAMPENI JIMBO LA DIMANI
24 Sep, 2025
00:00

SOMBI AZINDUA RASMI KAMPENI JIMBO LA DIMANI

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) leo Tarehe 23Septemba 2025 amezindua rasmi kampeni za Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Dimani Zanzibar.

Soma Zaidi
SOMBI  ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI,
22 Sep, 2025
00:00

SOMBI ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI,

KOMREDI SOMBI ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI, AMUOMBEA KURA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN,WABUNGE NA MADIWANI.

Soma Zaidi
HODI MANYARA
22 Sep, 2025
00:00

HODI MANYARA

Katibu Mkuu wa Jumuiya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Manyara kuanzia tarehe 22 Septemba,

Soma Zaidi
SOMBI ATETA NA VIJANA WA KAHAMA AWATAKA KUWA MSTARI WA MBELE KUZISAKA KURA ZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
22 Sep, 2025
00:00

SOMBI ATETA NA VIJANA WA KAHAMA AWATAKA KUWA MSTARI WA MBELE KUZISAKA KURA ZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Ndugu Rehema Sombi amekutana na Vijana UVCCM Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga Jana Septemba 20, 2025 katika Ofisi za CCM Wilaya huku akiteta nao kuhusu wajibu wao wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu Pamoja na kuhamasisha wengine wajitokeze kwa wingi kupiga kura.

Soma Zaidi