UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

Habari & Matukio

Habari za CCM, Habari za Vijana, Habari za Maendeleo n.k

MBINGA TUMEKUBALIANA CHAGUO LETU DKT. SAMIA
21 Sep, 2025
00:00

MBINGA TUMEKUBALIANA CHAGUO LETU DKT. SAMIA

Wananchi wa Mbinga wanafuraha na utayari leo tarehe 21 Septemba 2025 wakipata ugeni wa Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanya mkutano mdogo kwa kuisemea Ilani ya CCM 2025-2030 na kuomba kura licha ya Wananchi hao kueleza kuwa Chaguo lao ni Dkt. Samia na wagombea wa CCM.

Soma Zaidi
CHEI CHEI CHAKE CHAKE
19 Sep, 2025
00:00

CHEI CHEI CHAKE CHAKE

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasha moto wa Ilani Mkoani Kusini Pemba ambapo atafanya Mkutano Mkubwa wa Hadhara Chake Chake, Gombani Kale leo Ijumaa 19 Septemba, 2025. Vijana wapo tayari kwa nguvu zote kusikiliza Ilani Bora ya CCM 2025-2030 inayogusa maisha ya Kijana na Maisha ya Kila Mtanzania na Sera makini za Maendeleo endelevu ya Taifa letu.

Soma Zaidi
📝VIJANA WAZANZIBAR WAFUNGULIWA MILANGO YA AJIRA ZA KIMATAIFA
19 Sep, 2025
00:00

📝VIJANA WAZANZIBAR WAFUNGULIWA MILANGO YA AJIRA ZA KIMATAIFA

Ilani ya CCM 2025–2030 inaleta matumaini mapya kwa vijana wa Zanzibar kupitia mpango Kabambe wa Ajira Kupitia ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wizara ya Mambo ya Nje, mikakati madhubuti imewekwa kuhakikisha vijana wanapata nafasi za ajira ndani na nje ya nchi.

Soma Zaidi
Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, ili kuendelea na kampeni za CCM za kunadi sera za CCM
19 Sep, 2025
00:00

Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, ili kuendelea na kampeni za CCM za kunadi sera za CCM

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi• (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, ili kuendelea na kampeni za CCM za kunadi sera za chama hicho.

Soma Zaidi
IJUE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI -  ZANZIBAR
17 Sep, 2025
00:00

IJUE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI - ZANZIBAR

Chama Cha Mapinduzi kimejipanga kutekeleza ilani kwa upande wa Sekta ya kilimo na sekta ya Miundombinu ya Barabara.

Soma Zaidi
BI' MKUBWA KAFIKA
17 Sep, 2025
00:00

BI' MKUBWA KAFIKA

Mgombea wa Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Makunduchi, Zanzibar, akiendelea na ziara yake ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.

Soma Zaidi