UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

Habari & Matukio

Habari za CCM, Habari za Vijana, Habari za Maendeleo n.k

SOMBI AZINDUA RASMI KAMPENI JIMBO LA DIMANI
24 Sep, 2025
00:00

SOMBI AZINDUA RASMI KAMPENI JIMBO LA DIMANI

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) leo Tarehe 23Septemba 2025 amezindua rasmi kampeni za Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Dimani Zanzibar.

Soma Zaidi
SOMBI  ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI,
22 Sep, 2025
00:00

SOMBI ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI,

KOMREDI SOMBI ASHIRIKI KAMPENI NZEGA MJINI, AMUOMBEA KURA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN,WABUNGE NA MADIWANI.

Soma Zaidi
HODI MANYARA
22 Sep, 2025
00:00

HODI MANYARA

Katibu Mkuu wa Jumuiya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Manyara kuanzia tarehe 22 Septemba,

Soma Zaidi
SOMBI ATETA NA VIJANA WA KAHAMA AWATAKA KUWA MSTARI WA MBELE KUZISAKA KURA ZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
22 Sep, 2025
00:00

SOMBI ATETA NA VIJANA WA KAHAMA AWATAKA KUWA MSTARI WA MBELE KUZISAKA KURA ZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Ndugu Rehema Sombi amekutana na Vijana UVCCM Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga Jana Septemba 20, 2025 katika Ofisi za CCM Wilaya huku akiteta nao kuhusu wajibu wao wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu Pamoja na kuhamasisha wengine wajitokeze kwa wingi kupiga kura.

Soma Zaidi
RUVUMA INASONGA MBELE
22 Sep, 2025
00:00

RUVUMA INASONGA MBELE

CCM chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imehakikisha utekelezaji wa miradi mikubwa mkoani Ruvuma unaendelea kwa kasi na kwa ufanisi. Miradi hii ni mfano halisi wa Ilani ya CCM 2020–2025 na inaendelea kuweka msingi imara wa Ilani ya 2025–2030, huku ikinufaisha moja kwa moja vijana wa mkoa.

Soma Zaidi
WANAVYUO CHAGUA CCM, CHAGUA SAMIA,SAMIA ASHINDE KWA KISHINDO
22 Sep, 2025
00:00

WANAVYUO CHAGUA CCM, CHAGUA SAMIA,SAMIA ASHINDE KWA KISHINDO

Mkuu wa idara ya uhusiano ya Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa *Ndg Emanuel Martine* Leo tarehe 22/09/2025 amekutana na kuzungumza na Timu ya ushindi ya vijana wanavyuo wa vyuo vya kati na vyuo vikuu, viongozi mbalimbali na walezi wa matawi ya vyuo na vyuo vikuu katika mkoa wa Dar es salaam wanaoendelea kuzisaka kura za *Dkt Samia Suluhu Hassan* mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mgombea mwenza wake *Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi,* wabunge

Soma Zaidi