DKT SAMIA AKIONGEA NA WAPIGA KURA WAKE SHINYANGA MJINI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daktari Samia Suluhu Hassan, ameendelea na kampeni zake kwa kishindo akiwa Shinyanga Mjini, ambako amezungumza na Maelfu ya wananchi waliokusanyika kumsikiliza, Akiwa jukwaani Dkt. Samia amesisitiza dhamira ya serikali ya awamu ya sita kuendeleza utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo barabara, maji, afya, elimu na nishati ambayo Imeleta Mapinduzi makubwa katika maisha ya wananchi wa Shinyanga.
Soma Zaidi
TACTIC NA TARURA KUZIJENGA BARABARA ZA NDANI KAHAMA
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akihitimisha ziara yake ya kampeni mkoani Shinyanga jioni ya leo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kahama Mjini.
Soma Zaidi
VIJANA SHINYANGA WAFUNIKA, WAMUAPISHA DKT. SAMIA KWA KISHINDO CHA OKTOBA TUNATIKI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC), ameongoza maelfu ya vijana wa Shinyanga Mjini katika matembezi ya kishindo yaliyojaa hamasa, uzalendo na mshikamano chini ya kaulimbiu ya Oktoba Tunatiki Vijana hao wameonesha umoja wa nguvu ya kizazi kipya, wakiahidi kulinda amani, kudumisha utulivu wa Taifa na kujitoa kwa dhati kumpigia kura Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 29 Oktoba 2025, wakisema ndiye kiongozi anayewaletea matumaini, Maendele
Soma Zaidi
UVCCM YASHIRIKI WIKI YA VIJANA KITAIFA MKOANI MBEYA
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeshiriki katika wiki ya Vijana inayoendelea Jijini Mbeya, ambayo ilizinduliwa rasmi tarehe 10 Oktoba 2025 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb).
Soma Zaidi
🗓️BILA CCM MADHUBUTI NCHI YETU ITAYUMBA
Akiwa katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo Butiama Mkoani Mara, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kwa msisitizo mkubwa kuwa uimara wa Taifa letu unategemea Uimara wa CCM.
Soma Zaidi
TUMETEKELEZA NDOTO YA MWL. NYERERE SERIKALI KUHAMIA DODOMA
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni Mkoani Mara asubuh ya leo.
Soma Zaidi